1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mpambanaji ustawi afya ya akili kwenye jamii

03:35

This browser does not support the video element.

16 Septemba 2022

Amefaulu kuitafsiri elimu alioipata darasani katika kutatua changamoto katika jamii yake, matukio ya kustajabisha yanayojitokeza yanampa sababu ya kunusuru kizazi kijacho dhidi ya changamoto ya afya ya akili.Tazama video na Hadija Halifa

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Hawa Bihoga/DWPicha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW