Baadhi ya wasichana hulazimika kuacha shule baada ya kupata mimba. Nchini Tanzania, Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima imefanikisha mpango wa kuwarudisha mashuleni. Zaidi ya wasichana 2,700 wamesaidiwa.
Picha: DW/R. Klein
Matangazo
F: Frauen 22/23/24.03.2017 Assistance to drop-outs due to pregnancy - MP3-Stereo
This browser does not support the audio element.
F: Frauen 22/23/24.03.2017 Assistance to drop-outs due to pregnancy - MP3-Stereo