JamiiMashariki ya KatiMsafara mwingine wa malori ya misaada waingia Gaza01:57This browser does not support the video element.JamiiMashariki ya Kati23.10.202323 Oktoba 2023Shirika la Hilali Nyekundu la Palestina limesema kwamba malori mengine 15 ya misaada yaliobeba chakula, maji na dawa yaliwasili Gaza usiku wa kuamkia leo Jumatatu. #Kurunzi Nakili kiunganishiMatangazo