JamiiMsanii asiyeona, Mohammed Maro03:21This browser does not support the video element.Jamii31.10.202231 Oktoba 2022Kutana na Mohammed Maro, msanii kutoka Kilifi Kenya. Licha ya ulemavu wake wa kutoona, anatumia vipaji vyake kujinufaisha na wengine pia. Anaimba, anacheza kinanda na anaweza kuiga sauti za watu mbalimbali. #Kurunzi inamulika vipaji vyake.Nakili kiunganishiMatangazo