1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SanaaKenya

Msanii wa michoro ya Mandala mjini Mombasa

03:45

This browser does not support the video element.

8 Novemba 2023

Mariam Suleiman, ni msanii aliyeinuka kwa juhudi zake mjini Mombasa kwa michoro ya kuvutia ya Mandala. Akiwa na umri wa miaka 27, sanaa yake inaangazia utajiri wa utamaduni wa Waswahili, na kuonyesha maeneo yanayowavutia wengi mjini humo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW