Msemaji wa Ikulu wa Sudan Kusini ziarani Kampala
7 Februari 2014![Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini apanga kuwania urais kwa muhula mwingine](https://static.dw.com/image/17339401_800.webp)
Matangazo
Rais Salva Kiir atakuwa miongoni mwa wagombea kiti cha urais. Aliyekuwa naibu wake na ambaye sasa amegeuka kuwa hasimu wake Riek Machar ingawa ana matumaini ya kugombea urais, serikali ya Sudan Kusini imesema ataruhusiwa kugombea ikiwa atatangaza kusitisha uasi.
Mwandishi wetu wa Kampala Leylah Ndinda na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Leyla Ndinda
Mhariri: Saumu Yusuf