MigogoroJamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Msemaji wa kundi la waasi la M23 auawa
24 Februari 2026
Matangazo
Shirika la habari la Reuters limeripoti taarifa hizo likinukuu vyanzo vitatu vya kijeshi ikiwemo afisa mmoja wa kundi la M23
Kulingana na vyanzo hivyo, Ngoma ameuawa katika shambulizi la droni lililotokea katika eneo la Rubaya jimboni Kivu Kaskazini.
Siku kadhaa zilizopita, Willy Ngoma alinusurika kuuawa katika mashambulizi kadhaa ya droni yaliyofanywa kwenye eneo hilo la vikosi vya jeshi la Kongo.