Hii leo mtu wa 1,000 kujisajili kwa ajili ya kupokea taarifa zetu fupi za habari amepatikana! Yeye ndiye mshindi atakayepokea zawadi nono kutoka hapa Deutsche Welle.
Matangazo
Josephat Charo amezungumza naye kwa njia ya simu muda mfupi uliopita. Unataka kumjua ni nani na anatoka wapi? Sikiliza mahojiano!