1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana anayeongoza watalii majini

04:20

This browser does not support the video element.

8 Agosti 2025

Kutoka kwenye pwani ya Tanzania hadi kwenye kina cha bahari, amegeuza hofu kuwa ujasiri na ndoto kuwa kazi. Utalii wa chini ya maji si hadithi ya mbali tena, ni fursa halisi kwa vijana wa Kitanzania. Je, wewe uko tayari kujitosa kwenye ulimwengu huu wa ajabu? Kutana na Gefrida katika safari ya kukamilisha ndoto yake

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW