1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana anayetumia taka za plastiki kubuni bidhaa

04:08

This browser does not support the video element.

1 Agosti 2025

Sarafina ni msichana mbunifu anayetumia vifuniko vya chupa za plastiki kutengeneza bidhaa mpya zenye manufaa kama vile mapambo ya nyumbani, ofisini na vikapu. Kwa ubunifu wake, anasaidia kupunguza uchafuzi wa mazingira huku akihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuchakata taka na kutumia rasilimali zilizopo kwa njia endelevu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW