1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana Sanelisiwe, shujaa dhidi ya uhalifu

02:53

This browser does not support the video element.

Mohammed Khelef14 Agosti 2015

Msichana Sanelisiwe Dick ana umri wa miaka 17 tu lakini tayari ni shujaa wa kukabiliana na uhalifu kwenye mji wake wa Nelson Mandela Bay nchini Afrika ya Kusini.