JamiiMsichana Jasiri Mtengeneza samani za ndani04:41This browser does not support the video element.Jamii10.06.202210 Juni 2022Katika Msichana Jasiri, leo tunamuangazia Gift Manega, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam ambaye ameamua kuwa pia seremala katika kujiingizia kipato kwa ajili ya matumizi binafsi. Hadija Halifa na Mengi zaidi.Nakili kiunganishiMatangazo