JamiiMsikiti wa miaka zaidi ya 450 wa Mombasa Kenya03:35This browser does not support the video element.JamiiFathiya Omar08.11.20248 Novemba 2024Mji wa Kale, Mombasa, ni eneo lenye historia kubwa na utajiri wa utamaduni wa pwani ya Kenya. Miongoni mwa majengo ya kihistoria katika eneo hili ni Msikiti wa Mandhry, uliojengwa mwaka 1570, miaka 23 kabla ya Fort Jesus.Nakili kiunganishiMatangazo