Msimu wa Karneval wafunguliwa leo
11 Novemba 2011
Matangazo
Kilele cha sherehe hizo hufanyika katika mji wa Cologne ambako watu kutoka pande zote za Ujerumani humiminika kwa tukio hilo. Sikiliza mahojiano na wenzetu Sudi Mnete na Caro Robi waliolitembelea tukio hilo huko Cologne.