1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msitutenge, nasi tuna uwezo

04:32

This browser does not support the video element.

18 Novemba 2022

Michezo ni kwa wote ali mradi anao uwezo wa kushiriki kwa namna moja ama nyingine. Lakini inasikitisha kwa sababu baadhi ya mamlaka huwaweka kando hata kama wanaonyesha uwezo kwenye michezo husika. Tizama video hii, kisha tupe mtizamo wako. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW