JamiiSenegalMsukumo wa usawa katika umiliki ardhi Senegal na kote Afrika01:31This browser does not support the video element.JamiiSenegalJohn Juma27.09.202327 Septemba 2023Kote barani Afrika, mapambano ya kutaka usawa wa umiliki haki kati ya wanaume na wanawake yaendelea. Nchini Senegal, vuguvugu moja la kina mama linaendeleza juhudi za kina mama kupigania haki hiyo ya ardhi.Nakili kiunganishiMatangazo