Mswaada wa kutoa msamaha kwa waasi wa Kivu ya Kusini na Kaskazini wapitishwa bungeni DRC
14 Julai 2008Matangazo
Hata hivyo, hatua hiyo haijawaridhisha wanamgambo wa mkoa wa Ituri.Kutokana na hali hiyo kiongozi wa UPC, ameelezea kuwa ilibidi wanamgambo wa Ituri wapatiwe nao msamaha ili waliosalia msituni nao watoke huko.
Kutoka Beni Mwandishi wetu John Kanyunyu anaripoti zaidi