1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtafaruku ndani ya kampeni dhidi ya mauaji ya albino

Grace Kabogo31 Machi 2015

Kampeni za kuhamasisha umma na kupinga mateso na mauaji yanayofanywa dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi zimekuwa zikiendelea nchini Tanzania, lakini kuna malalamiko ya kutokuwepo kwa umoja kusimamia kampeni hizo.

Mama na mtoto wake mwenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania.
Mama na mtoto wake mwenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania.Picha: picture-alliance/AP Photo/J. Martin

Katika mahojiano haya, Grace Kabogo anazungumza na Dk. Posi Abdullah, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma, juu ya mkanganyiko ndani ya kampeni dhidi ya mauaji ya albino nchini Tanzania.

Kusikiliza mahojiano kamili, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW