Mtambue Joe Kadenge gwiji la soka Kenya
6 Februari 2014Matangazo
"Najivunia kuwa Mkenya sitaki kutambulishwa kwa kabila langu" Ni maneneo ya mwanasoka wa zamani wa Kenya Joe Kadenge, ambayo yanaoesha upendo kwa taifa lake na nia ya kufuta kabisa ubaguzi wowote wa kikabila nchini humo. Kadenge ambae alisakata kabumbu na kuwika katika medani ya soka miaka ya 1950 katika eneo la Afrika Mashariki alizungumza na mwandishi wa DW nchini Kenya Reuben Kyama. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.