1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtindo wa nywele wa 'corona' Kenya

02:34

This browser does not support the video element.

1 Oktoba 2020

Mpiga picha wa miaka mingi Donwilson Odhiambo ameona mambo mengi Nairobi. Lakini hata yeye alifurahishwa alipotizama sanaa ambayo haijawahi kushuhudiwa nchini Kenya au kokote kule. Mtindo wa kusuka nywele uitwao corona. Hebu tizama namna ambavyo mama mkaazi wa Kibera anavyowasuka nywele wasichana wake kuuhamasiha umma kuhusu janga la corona.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW