1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kundi la fisi limemla mtu pembezoni mwa Nairobi

02:00

This browser does not support the video element.

7 Februari 2024

Mtu mmoja amekufa baada ya kuliwa na wengine wawili kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na kundi la fisi karibu na chuo kimoja kikuu nje kidogo ya Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW