1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muongoza watalii wa kike Mmasai

03:49

This browser does not support the video element.

14 Februari 2023

Barbrah Naserian ameshinda vizuizi vya kijinsia, Kwa kuwa mmoja wa waongoza watalii wa kwanza wa kike kutoka jamii ya Wamaasai. Maamuzi ya maisha ya msichana huyu mwenye umri wa miaka 22 yanapingana na kanuni kali za mfumo dume wa jamii yake ya Maasai.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW