SiasaUgandaMuseveni aitetea sheria ya kupinga ushoga03:04This browser does not support the video element.SiasaUgandaJacob Safari01.06.20231 Juni 2023Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameutetea uamuzi wake wa kutia saini na kuufanya kuwa sheria, muswada wa kupinga mapenzi ya jinsia moja nchini humo. Museveni serikali yake iko tayari kunyimwa misaada na vikwazo kutoka kwa mataifa ya Magharibi. Nakili kiunganishiMatangazo