1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar watimiza miaka 47

26 Aprili 2011

Watanzania waadhuimisha miaka 47 ya Muungano wa zilizokuwa Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar hapo mwaka 1964, kwa sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Amani, mjini Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya KikwetePicha: AP

Ili kupata picha kamili ya jinsi mambo yalivyokuwa, Josephat Charo amezungumza na na mwandishi wetu wa huko, Salma Said, ambaye amehudhuria sherehe hizo.

Mahojiano: Josephat Charo/Salma Said
Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW