1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MVUA KALI YAUA 100 ETHIOPIA

6 Agosti 2006

ADDIS ABABA:

Mafuriko yamechukua maisha ya hadi watu 100 na kuteketeza nyumba huko Mashariki mwa Ethiopia kufuatia mvua kali.

Mvua hizo zimesababisha mto kufurika-polisi imearifu leo.Kiasi nyumba 220 zimeteketezwa na mafuriko hayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW