JamiiMvua zasababisha maafa Dar01:53This browser does not support the video element.JamiiIddi Ssessanga16.04.201816 Aprili 2018Watu tisa wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mvua zinazoendelea kulikumba jiji la Dar es Salaam. Hali ni mbaya hasa kwa wakaazi wa mambondeni, ambako nyumba zaidi ya 300 zinaripotiwa kusomba na mafuriko ya mvua hizo.Nakili kiunganishiMatangazo