1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano kuhusu kisiwa cha Migingo

02:16

This browser does not support the video element.

John Juma
23 Oktoba 2018

Kisiwa cha Migingo si kikubwa. Lakini kimekuwa chanzo cha mvutano kati ya Kenya na Uganda kwa miaka kumi iliyopita kuhusu umiliki wake. Swali linalosalia ni je suluhisho la kudumu litapatikana lini?

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW