Iran: Mashambulizi, Kauli tata na Hatma Isiyoeleweka!
18:39
This browser does not support the video element.
MigogoroIran
26 Machi 2026
Hata baada ya Rais Donald Trump kudai kuwa Marekani iko kwenye mazungumzo na Iran ili kumaliza mgogoro huo, Iran imekanusha vikali kuwepo kwa mazungumzo yoyote. Kwenye uchambuzi huu tunachunguza malengo ya kila upande, sababu za mkanganyiko, na mustakabali wa mzozo huu unaotikisa Mashariki ya Kati.