Mwaka 2020 ulikuwaje kwako? Mambo yalikwenda sawa ama kulikuwa na changamoto? Tushirikishane hapa baada ya kutizama video hii kutoka huko Maswa nchini Tanzania, iliayoandaliwa na Veronica Natalis. #Kurunzi
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.