SiasaUkraineMwaka mmoja tangu Urusi kuivamia Ukraine01:51This browser does not support the video element.SiasaUkraineBakari Ubena24.02.202324 Februari 2023Leo February 24, 2023, umetimia mwaka mmoja tangu Urusi kuivamia Ukraine. Ukraine inashuhudia mwaka mmoja wa umwagaji damu, vifo, wakimbizi, na uharibifu mkubwa wa majengo na miundombinu kutokana na mashambulizi ya Urusi. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo