1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiNigeria

Mwanadada anayehamasisha wenzake kwa njia ya karate

01:52

This browser does not support the video element.

1 Machi 2023

Mwanadada mwenye uzoefu mkubwa wa karate Nigeria anayabadilisha maisha ya wasichana nchini humo. Anawaleta pamoja kwenye shindano kuu la kila mwaka la karate nchini Nigeria. Shindano hilo pia hutetea kukomeshwa kwa ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW