JamiiNigeriaMwanafunzi anayeosha magari ili kulipa karo ya chuo kikuu01:42This browser does not support the video element.JamiiNigeria11.08.202311 Agosti 2023Sani Usman amedhamiria kupata shahada ya chuo kikuu. Bila kujali hali yake katika kutimiza ndoto yake, kijana huyo amekuwa akiosha magari ilikukidhi mahitaji ya shule.Nakili kiunganishiMatangazo