1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanahabari Zambia anayewaelimisha wasikilizaji kuhusu mabadiliko ya tabia nchi

03:35

This browser does not support the video element.

30 Julai 2019

Japo wachangiaji wakubwa wa mabadiliko ya tabia nchi wanatokea Ulaya, Asia na Marekani, Waafrika wanaathirika pakubwa huku baadhi ya nchi zao nyingi zikikumbwa na ongezeko la joto na mvua isiyotabirika. Baadhi yao kama vile mwandishi wa habari Beatrice Phiri, wameanza kupambana na hali hiyo. kwa kueneza habari kuhusu ukataji miti, uchafuzi wa mazingira na changamoto nyinginezo za kimazingira.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW