Shambulio la kigaidi mjini Barceona limewaua watu 14 na kujeruhi wengine zaidi ya 100. Mwanaharakati wa kupambana na ujangili Wayne Lotter ameuawa kikatili nchini Tanzania kwa kupigwa risasi. Afrika Kusini inapanga kumpatia kinga ya kidiplpmasia mke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe. Papo kwa Papo 18.08.2017