1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanaharakati wa Uganda Rosebell Kagumire: Mtetezi wa usawa

03:10

This browser does not support the video element.

25 Mei 2022

Mwanahabari wa Uganda Rosebell Kagumire apambana kuwapa wanawake wa Afrika sauti. Kwenye tovuti “Africanfeminism.com” anaangazia uhalisia wa maisha ya kila siku ya wanawake wa Afrika kwa kuangazia juhudi za kupigania uhuru wa kujieleza na vita dhidi ya kufungwa kwa mitandao. Mengi zaidi ni kwenye vidio hii ya Vijana Mubashara 77Asilimia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW