1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamasumbwi wa zamani G. Foreman afikisha miaka 70

01:48

This browser does not support the video element.

10 Januari 2019

George Foreman ambaye ni bingwa wa zamani wa ndondi leo anasherehekea miaka 70 tangu alipozaliwa. Foreman maarufu kama 'Big George' anatizamwa na wengi kuwa miongoni mwa mabingwa wakongwe wa ndondi ambao wangali hai. Anakumbukwa kwenye pambano la kihistroia kati yake na Mohammed Ali mjini Kinshasa ambapo Ali alishinda kwa kumbwaga kwa njia ya knock out. Mengi zaidi ni kwenye vidio maalum Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW