JamiiMwanamke fundi wa kuchoma vyuma02:35This browser does not support the video element.Jamii29.04.202029 Aprili 2020Licha ya kuwa kazi ya kuchoma vyuma aghalabu hufanywa na wanaume, kwake Mwajuma Amiri hilo si hoja. yeye ni msichana pekee anayefanya kazi hiyo sawa na wanaume katika moja ya Gereji zilizopo Manispaa ya Mtwara Mikindani. Fahamu mengi kumhusu.Nakili kiunganishiMatangazo