1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke kielelezo kwa wengine Tanzania

03:16

This browser does not support the video element.

15 Aprili 2020

Tausi akiwa binti mdogo alianza kuuza uji na karanga kwa kutembeza barabarani na alipopata mtaji alijiajiri kwa kufungua duka. Kufuatia bidii yake, amepiga hatua katika kazi hiyo yake na kuwafundisha watoto wake hadi chuo kikuu. Je ana ushauri gani kwa kina mama na wasichana wanaobweteka tu? Veronica Natalis anasimulia kwenye makala Kurunzi ya Wanawake

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW