1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke kiongozi kwenye ukuta wa Mirerani, Tanzania

01:48

This browser does not support the video element.

Veronica Natalis
19 Oktoba 2022

Anayetupambia ukurasa wa Kurunzi Wanawake hii leo ni Recho Joseph. Kama mchimbaji mdogo wa madini, Recho amekuwa akitumia nafasi yake ya uongozi kuhamasisha utolewaji wa mikopo yenye riba nafuu kwa wachimbaji ili waweze kumudu gharama za vifaa vya uchimbaji.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW