1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Mwanamke mcheza saksafoni Rwanda

04:35

This browser does not support the video element.

13 Mei 2020

Ndiye mwanamke wa kwanza kucheza saksafoni kwenye muziki nchini Rwanda. Stella Tushabe mwenye umri wa miaka 30 anataka kukitumia kipaji chake kuwahamasisha na kuwatia moyo wanawake wengine pia kufanya kazi zinazofikiriwa kuwa ni za wanaume pekee kama vile kucheza saksafoni.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW