JamiiKenyaMwanamke wa Kibra atengeneza matofali ya kipekee 02:54This browser does not support the video element.JamiiKenya24.05.202324 Mei 2023Mwanamke mmoja wa Kibra, Nairobi Kenya ambaye amepata suluhisho ya kujenga nyumba za bei nafuu kwenye mitaa duni. Ameanzisha kampuni yake kwa jina Start Somewhere ambayo imeajiri wafanyikazi sita. Nakili kiunganishiMatangazo