1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamuziki anayepigania mageuzi Msumbiji

03:49

This browser does not support the video element.

16 Aprili 2020

Azagaia ni miongoni mwa wasanii wa kufoka wenye ushawishi hata kisiasa. Mashairi yake makali pamoja na midundo ya kuvutia imempa umaarufu katika nchi zinazozungumza Kireno, lakini pia polisi na maafisa wa serikali wanamhangaisha. Tumekutana naye Maputo akizindua albamu yake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW