Sayon Bamba, mwanamke wa Guinea, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi.
Picha: DW
Matangazo
Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana