1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanasiasa mkongwe Nassoro Moyo azungumzia uchaguzi Zanzibar

27 Oktoba 2015

Nassoro Moyo, mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania na muasisi wa siasa za maridhiano Zanzibar, ambaye alivuliwa uanachama na Chama cha Mapinduzi (CCM) alichoshiriki kukianzisha 5 Februari 1977, amezungumza na DW.

Mzee Nassor Hassan Moyo Interview Politik Sansibar
Mwanasiasa mkongwe Zanzibar, Mzee Nassor Hassan MoyoPicha: DW/S.Said

[No title]

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW