1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanza: Sanaa ya uchoraji kama ajira

01:47

This browser does not support the video element.

24 Aprili 2020

Uchoraji ni sanaa, pia hupamba kitu au eneo na kuleta mvuto. Huweza kutumiwa kama chombo cha kuelezea historia na fahari ya jamii. Isitoshe ni ajira. Haya yote yanadhihirishwa kupitia mapambo haya mjini Mwanza Tanzania. Dotto Bulendu na mengi zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW