1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanzo mpya wa siasa Tanzania?

01:54

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
25 Januari 2023

Kurejea nchini Tanzania kwa mwanasiasa wa upinzani alieishi uhanishoni kwa takriban miaka mitatu,kufunguliwa kwa mikutano ya siasa ni miongoni mwa ishara zinazotajwa na wachambuzi wa sayansi ya siasa kwamba mwanzo mwingine wa siasa katika taifa hilo la Afrika mashariki, baada ya kuminywa na utawala uliopita.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio