Mzozo kuhusu makubaliano mapya ya kibiashara
7 Novemba 2007Matangazo
Mwandishi wetu Jane Nyingi alizungumza na waziri wa biashara na viwanda nchini Kenya Mukhisa kituyi ambaye aliteuliwa na umoja wa ulaya kuongoza mashauri hayo miongoni mwa mataifa ya mashariki na kusini mwa Afrika na kwanza alianza kwa kueleza msimamo wao ni upi kuhusu makubaliano hayo mapya ya kibiashara.