SiasaMzozo wa Lipumba na CUF Zanzibar waendelea08.03.20178 Machi 2017Baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Ibrahim Lipumba kutengua uteuzi wa wakurugenzi wa chama, CUF imesema Lipumba hana mamlaka ya kufanya hivyo wala Naibu katibu mkuu bara, Magdalena Sakaya. Nakili kiunganishiPicha: DWMatangazoJ2 08.03 CUF - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.