1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa Wamasai na serikali ya Zanzibar kuhusu silaha zao

03:29

This browser does not support the video element.

19 Februari 2024

Watu wa jamii ya wamasai wanaingia katika mgogoro na mamlaka za serikali baada ya kutakiwa kutokutembea na silaha za jadi kama mila zao zinavyowataka kutokana na matukio ya kiuhalifu yaliotokea huko visiwani zanzibar. Ingawa hali hiyo inaelezwa na watu wa jamii hio kuwa jambo lisilowezekana. 

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW