1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NÜRNBERG: Idadi ya watu wasiokuwa na ajira yapungua

2 Novemba 2005

Idadi ya watu wasiokuwa na ajira imepungua kwa alfu 94 hapa nchini Ujerumani.

Idara ya ajira imetoa taarifa hiyo na kueleza kwamba idadi ya watu wasio kuwa na kazi inatarajiwa kupungua zaidi.

Kwa sasa Wajerumani milioni moja na nusu hawana ajira, idadi hiyo inawakilisha asilimia kumi ya watu wenye uwezo wa kufanya kazi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW